mnamo mwaka 2018 watu walianza kuijua infinix na kutambua uwepo wake ila kwanzia 2019 mwisho wamwaka kwanzia november watumiaji wengi wasimu janja za mkononi walianza kuhama na kuufata upepo wa Infinix huku mwanzo kabisa ilijuikana na soko la simu lilishikwa na kuongozwa na kampuni ya simu ya TECNO huku zikifuata makampuni mengine ikiwemo samsung, itel na makampuni madogo madogo yasimu, ila 2018 mauzo ya kampuni ya simu ya TECNO na punde kampuni ya Infinix ika ibuka na kuanza kuteka soko na hakika kufika 2019 iliweza kuchukua asilimia kubwa sana ya watumiaji wa simu za TECNO na kua watumiaji wa simu za Infinix.
Takwimu hii imetokana na utafiti mdogo ambao ulifanyika mnamo 2020 mwezi wa 5 na kupata majibu 80% ya watumiaji wa Infinix walishawahi kutumia simu za TECNO siku za nyuma, na hata sasa wameibuka watumiaji wapya ambao wameanza kutumia simu za infinix moja kwa moja na hawa watumiaji wengi wao ni wanafunzi.
wahenga zamani walikua na msemo mmoja kua ukilusha jiwe Dar es salaam na likadondoka katikati ya watu basi kwenye watu 10 nane wote watakua ni wazalamo hivyo msemo huo huo unakuja kujirudia sasa na Zoom Tech ina kuhakikishia hii kwamba ukirusha Jiwe katikati ya watu au makazi ya watu 100 basi watu 90 wote utawakuta wanatumia simu kutoka Infinix.
Hii ni dhahiri kua Infinix imefanikiwa kuteka soko la simu Tanzania tangu 2020 na sasa tayari kampuni hii ipo kwenye eneo zuri la kuweza kushindana au kujiringanisha na makampuni makubwa yaani makongwe ikiwemo samsung kwani wana matoleo lingana sawa na samsung mfano matoleo yao ya Note na Zero yamekua yaki shika na kutafuta mlingano wa kampuni ya samsung ila pia Infinix ina matoleo lingana kwaajili ya kila mtu ambayo ni matoleo ya Hot, sasa sambamba na samsung kwa matoleo ya A series.
Hoja za watanzania wengi wamekua wakilinganisha na kufananisha Infinix na Tecno kwa upande mmoja au mwengine, hii nikwasababu ya nyendo za ufanisi wa kazi na utaratibu pia ila ziaidi ni pamoja na ukaribu wa ufanisi wao umekua ukileta taharuki kwa watanzania wengi.
Je nini maoni yako Juu ya kampuni Ya Infinix?
Acha maoni yako kwenye Comment hapo chini.
TechLazima.
mm natumia smart 5 na iko poa sana nazipenda sana simu za infinix
JibuFutainfinix nazipenda
JibuFutame nishawachoka hizi simu ni zile zile wewe kama unatumia infinix jua unatumia tecno tu huezi nikuta natumia hiyo simu mm hata kumnunulia demu wangu siwezi hahah bora atumie kitochi
JibuFutainfinix baba lao
JibuFutaSim nzur sana zinazoweza kutunza chaji kwa muda mrefu
JibuFutaZina ubora ziko vizr sana
JibuFutasim hiz ni Bora nilianza na hot 7 sikuwah Kuna kasoro na sasa Nina hot 10
JibuFutaZiongezwe ubora katika camera
JibuFutaMm natumia note8 iko bomba kinyama ,tatizo latecno nikwamba simu moja majina mengi
JibuFutaChapisha Maoni